Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Ohoo kumbe bas sawa kule nishakubaliwa na baby wangu mbiti, nenda kaone mwenyeweMy weather ameshinda kwa knockout round ya kumi baada ya kumsukumia makonde mfululizo usoni mc Gregory aliyekuwa ameloa damu usoni kidogo adondoke ktk kamba hadi nje ya ulingo ambapo referee amebidi amuokoe kwa kusimamisha pambano
Asante myweather kwa kutubeba waafrika[emoji23] [emoji23]
DJ sepetu
Sent using Jamii Forums mobile app