Dua zenu dhidi ya Marekani zinakwama wapi?

Dua zenu dhidi ya Marekani zinakwama wapi?

Usisahau kuna utajiri wa kutoa kafara a. k. a utajiri wa nguvu za giza na mwisho wake unajulikana.

Sasahivi watu wanaachana na dola, tusubiri muda utasema
Wanaacha dola wanatumia nn? au ndio hiyo rubo na yuani?[emoji848]

Hizi hela hata ukizikuta barabarani zimedondoshwa unaweza ukazipita tu[emoji3061]

Ila dollars in mvuto wake
 
We jamaa sijui utakua lini? Umeshindwa kabisa kutumia akili. Eti marekani anatoa sana misaada, ANACHOTOA NI KIDOGO SANA UKILINGANISHA NA ANACHOIBA.
Eti anatumia sana kwenye defense wakati kwenye mapigano one to one na Russia hawezi
Tupe ushahidi wa anavyotuibia ili tujue ni kwa nini ripoti ya CAG haimtaji kwenye matukio ya ufisadi yanayofanyika humu nchini.
 
Tupe ushahidi wa anavyotuibia ili tujue ni kwa nini ripoti ya CAG haimtaji kwenye matukio ya ufisadi yanayofanyika humu nchini.
Pro NATO mna akili ndogo, mifumo ya kifedha kama benki ya dunia, IMF n.k ipo kumbeba yeye na kufanya nchi masikini ziendelee kuwa masikini. Marekani ipo iraq, Libya syria kwa kuwaibia gesi na mafuta. Makampuni ya kimarekani yapo kila mahali na kusaini mikataba ya kiunyonyaji
 
Wanamlazimisha nani kusaini hiyo mikataba. Wakati Chenge alipoficha hela kule kwenye visiwa vya Jersey Island nani alimlazimisha kusain ule mkataba wa Rada.

Hii tabia ya kinafiki ya kuhujumu nchi zenu wenyewe kisha kusingizia wazungu itawafanya muendelee kuwa maskini na ombaomba milele.
 
Wanaacha dola wanatumia nn? au ndio hiyo rubo na yuani?[emoji848]

Hizi hela hata ukizikuta barabarani zimedondoshwa unaweza ukazipita tu[emoji3061]

Ila dollars in mvuto wake
Kuna vijamaa vipo kwenye kundi fulani , vyenyewe ni kama mke na mume, yaani wao kazi yao kubwa ni kupeana support kwenye mada za kuipinga marekani.
Hoja zikiwazidia utasikia wao hawatoi taarifa kutoka Bbc na Ccn kama sisi, wakati visimu vyao wanavyotumia vina search engine ya Mmarekani.
 
Back
Top Bottom