moody kabwe
Member
- Mar 13, 2015
- 76
- 21
Yanga: iko airport kwa ajili ya safari ya Tunisia ila bahati mbaya kiungo Haruna Niyonzima ameugua ghafla ana malaria hv sasa yupo kwenye drip
Ila Salum Telela leo amefanya mazoezi na kidogo yupo fit wanaenda nae

Na hatimaye timu iko dubai kwa sasa mpaka saa 7 watakuwa tunisia kwa kujiandaa na mchezo utaokaochezwa siku ya jumamos saa 3:00 usiku kwa tanzania na kuojeshwa live na AZAMTV kupitia AZAM TWO na kutangazwa live na kituo cha radio Efm 93.7 hivyo kwa wale wanaotubeza mkae tayari
Simba mamluki weweKila la kheri mtani wangu mm simba damu lakin cna dua mbaya zidi yko nakuombea upeperushe bendera ya klabu na inchi kwa ujumla,Amein
Faraja pekee kwa Simba iliyosalia ni kuona Etoile inaitoa Yanga mashindanoni. Endapo Yanga itasonga mbele mikia wengi lazima watazimia na watakaobaki hai 90% watarejea Yanga (walikotoka baada ya maasi ya 1936).
...mchezo utaokaochezwa siku ya jumamos saa 3:00 usiku kwa tanzania na kuojeshwa live na AZAMTV kupitia AZAM TWO
Naiombea Yanga ishinde maana game hili lina mambo mawili ya umuhimu kwangu.
1.Ushindi ambao utapelekea urahisi katika jambo la 2.
2.Kuna ahadi nimepewa humu
A→Kifuurushi cha unlimited Internet mwezi mzima kutoka kwa Masuke.
B→Dola za kimarekani 150 kutoka kwa Apologise lady!
MUNGU IBARIKI YANGA,MUNGU NIBARIKI nifah..Amin!
Uwezekano wa Yanga kushinda ni mdogo sana tena sana, hata hivyo mimi nitakupoza tu na kifurushi cha wiki kwa ajili ya kukufuta machozi.Naiombea Yanga ishinde maana game hili lina mambo mawili ya umuhimu kwangu.