OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Simba mamluki wewe
Itoe wapi hela ya kuwanunua waarabu,wale sio Ndada wa kuhonga 20ml
Hata Nani Augue Na Waende Na Nani Kipigo Kwenu Ni Pale Pale Kama Vile KIFO Na BINADAMU. Nasikia Mnaenda Na Maulid Kitenge Tunisia!
Na Saleh Ally wa champion nae kaenda, Hemed kivuyo wa itv nae kaenda na wote hao watapitia dubai
Yanga ikishinda kwanza nazimia masaa 14 na naomba niamkie ICU. toka lini yanga kamfunga mwarabu?????
Mnadhani Manji mjinga kutoa ahadi zile???? anajua hilo jambo haliwezekani hata chembe.
Na Saleh Ally wa champion nae kaenda, Hemed kivuyo wa itv nae kaenda na wote hao watapitia dubai
Wewe dada wewe? Mpira hauchezwi mdomoni bali uwanjani.
Tusubiri dakika 90 ndio tuongee yote haya.
Linapokuja suala kama hill huwa naweka ushabiki na unazi kando, Nawaombea watani zangu vibonde kwa SIMBA wakashinde mechi yao ugenini
nifah hivi kifurushi cha unlimited internert mwezi mzima sh ngapi vile? nataka nimpe ofa lara 1 kwa ule ubuyu mzuriNaiombea Yanga ishinde maana game hili lina mambo mawili ya umuhimu kwangu.
1.Ushindi ambao utapelekea urahisi katika jambo la 2.
2.Kuna ahadi nimepewa humu
A→Kifuurushi cha unlimited Internet mwezi mzima kutoka kwa Masuke.
B→Dola za kimarekani 150 kutoka kwa Apologise lady!
MUNGU IBARIKI YANGA,MUNGU NIBARIKI nifah..Amin!
Bila shaka ni elfu 30!
Sawa dada nifah kesho mapema kaa katika tv
Koh koh! Haya hongera zake lara 1! Ila kiukweli anastahili.