Dua zenu kwa jeshi la Jangwani

Dua zenu kwa jeshi la Jangwani

Hata Nani Augue Na Waende Na Nani Kipigo Kwenu Ni Pale Pale Kama Vile KIFO Na BINADAMU. Nasikia Mnaenda Na Maulid Kitenge Tunisia!

Na Saleh Ally wa champion nae kaenda, Hemed kivuyo wa itv nae kaenda na wote hao watapitia dubai
 
Na Saleh Ally wa champion nae kaenda, Hemed kivuyo wa itv nae kaenda na wote hao watapitia dubai

Huyo Hemed Kivuyo Nauli Kapata Wapi? Asije Kuanza Kusumbua Watu Tu Huko Kwa Kugongea Chai,Chakula Na Vinywaji. Mshahara IPP Wameshalipwa?
 
Yanga ikishinda kwanza nazimia masaa 14 na naomba niamkie ICU. toka lini yanga kamfunga mwarabu?????
Mnadhani Manji mjinga kutoa ahadi zile???? anajua hilo jambo haliwezekani hata chembe.

Wewe dada wewe? Mpira hauchezwi mdomoni bali uwanjani.
Tusubiri dakika 90 ndio tuongee yote haya.
 
Na Saleh Ally wa champion nae kaenda, Hemed kivuyo wa itv nae kaenda na wote hao watapitia dubai

Safi sana, ninavyompenda Kivuyo hua sichoki kumsikiliza maana ananikosha sana.
 
Wewe dada wewe? Mpira hauchezwi mdomoni bali uwanjani.
Tusubiri dakika 90 ndio tuongee yote haya.

Hahahahahaha nifah, ukianguka presha naomba atakuwa karibu yako anipe taarifa upo hospital gani ili nikuletee hata juice ya Azam tu, maana naona jinsi utakavyochungulia kaburi yanga ikipata kichapo toka kwa wanyonge wa mnyama.
 
Last edited by a moderator:
Linapokuja suala kama hill huwa naweka ushabiki na unazi kando, Nawaombea watani zangu vibonde kwa SIMBA wakashinde mechi yao ugenini

Mkuu tukiweka unafiki pembeni, Yanga hatoboi.
Atachezea kichapo tu.

Kiboko ya Waarabu ni Simba, tena siyo simba ya sasa.
 
Nimekiandaa kikosi vizuri na kizuri kwao kila mmoja anatamani klabu iandike historia ya ushindi hapa sousse. Wapinzani wangu ni wazuri na wana experience kubwa na michuano hii lakini tumekuja kupambana na si kukamilisha ratiba. Hali ya hewa ni changamoto kubwa kwetu lakini nashukuru wachezaji wameanza kuizoea. Nachoweza kusema mipango ikifuatwa vizuri, hali ya kujituma na maamuzi sahihi toka kwa refa basi Yanga itarudi na pointi tatu jijini Dar. Mwenyenzi mungu atusaidie
Hans Van der Pluijm
 
Naiombea Yanga ishinde maana game hili lina mambo mawili ya umuhimu kwangu.
1.Ushindi ambao utapelekea urahisi katika jambo la 2.
2.Kuna ahadi nimepewa humu
A→Kifuurushi cha unlimited Internet mwezi mzima kutoka kwa Masuke.
B→Dola za kimarekani 150 kutoka kwa Apologise lady!
MUNGU IBARIKI YANGA,MUNGU NIBARIKI nifah..Amin!
nifah hivi kifurushi cha unlimited internert mwezi mzima sh ngapi vile? nataka nimpe ofa lara 1 kwa ule ubuyu mzuri
 
Last edited by a moderator:
nifah hivi kifurushi cha unlimited internert mwezi mzima sh ngapi vile? nataka nimpe ofa lara 1 kwa ule ubuyu mzuri

Bila shaka ni elfu 30!
 
Last edited by a moderator:
mimi nasema yanga wanapigwa tu na wapigwe tu kama alivyosema pinda..tumewachoka
 
Koh koh! Haya hongera zake lara 1! Ila kiukweli anastahili.

Aaaah we nifah kweli warumi ameishakuambukiza umbea si kidogo, yaani hukai na kitu kifuani looh!!
sa aliyekwambia umwite lara 1 nani we mwanamke??? khaa! huoni mwenyewe nilikuwa nakunong'oneza tu sikioni mwenyewe asisikie, ona sasa umeniumbua sasa tiyari loh!!

Ila kweli the lady deserves uongo mbaya
 
Back
Top Bottom