Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,658
kwa mwendo wa bia kanazokunywa lazma kazaliwe kamelewa chakarihahahahahahahaaa hapa nasubiria kumcheki dogo maana nahisi atatokea mtaani make anapenda bia huyoo yaani hata bar inabidi niende na kadi ya klinik mweee mmm
hahahahahahahahahakwa mwendo wa bia kanazokunywa lazma kazaliwe kamelewa chakari
Kama katakuwa kadada kaite CHIKU usikaite FaizaFox katakuwa kajeuri.
sure...ila siku hz simuoni...[/QU haha. Atakuwa.kalambwa.ban anapumzika_
pole sana Mungu yupo nawe daima[/QU asantee