Kwani yeye tu ndio wa kwanza kufunga magoli?!!! Watu wamesha piga hat trick bado walishuka na timu zao!!!Tumuombee Samatta afunge magoli ili timu kubwa zimuone.
Weusi sie hautupati...sisi wagumu kweri kweriMkumbuke na dua kwa Mola atuepushe na virusi vya Korona. Mnakukumbuka mpira tu wakati hali ni tete. Huko iliko sasa hivi hata kwenye viwanja vya watoto hakuna mpira
Samatta kiwango anacho cha kucheza Epl useme timu ndiyo hana ,kwa kipindi kifupi amewafunga makipa wakubwa tu kwa sasa ktk soccer la ulaya,amemfunga Liverpool mara mbili ikiwemo ktk ligi ya ulaya na epl amewaweza mabeki bora ulaya na kufanikiwa kutikisa nyavu za timu zao zikiwamo pia Mancity,pamoja na ugeni wake...ki takwimu tayari amewatupa mbali mamia ya wachezaji ambao wamecheza msimu wote huu epl akiwamo LingardAston Villa walipiga mkwaju moja tu galini hadi mechi inaisha na kati ya mechi 10 walizobakiza nne watapambana na timu ambazo ziko top six kwa sasa.
Siioni Aston Villa wakibaki EPL msimu ujao, uwezekano wa kushuka daraja ni mkubwa sana.
Wachezaji wote wa Aston Villa akiwemo Samatta hawana kiwango cha kucheza EPL. Championship ndio size ya ligi ile ya Belgium aliyokuwa akichezea.
Kusema ukweli jana ile machi nilishindwa kuendelea kutazama aisee sio kwa moto ule waliokuwa wanapelekewa na Lester City hawafai hata kwa kurumagia, ila naamini hata wakishuka Bridge Mshikaji wetu wa kuitwa Samagoal77 atapata timu ya kumchukua na yy kubaki ligi kuu
Hayo mawazo ndiyo yanawaumiza hadi leo wana simba kisaikolojia baada ya morisson kuwatendaHapo watakula mkono kavu[emoji848][emoji848][emoji23][emoji23]
Dalaja = darajaBaada ya kuangalia mechi kadhaa za timu pendwa Aston Villa, Ni dhahiri timu ya Aston Villa ina kila dalili ya kushuka dalaja. Kila utakapoangalia mechi ya Aston Villa, kuna baadhi ya vitu viko wazi. Ni timu ambayo ina beki mbovu, wachezaji wana uzembe mwingi, kuna lack of confidence kwa wachezaji wengi. Ni timu ambayo ni HOPELESS, ni vyema Samatta akaanza kujipanga kucheza Championship, Aston Villa kushuka daraja ni jambo lisiloepukika.
NAWASILISHA!.
Azam wanaonyesha.Hamna cha dua wala sala hapo. Kama kiwango hamna ni hamna tu. Labda mumtafutie Samatta team ingine itakayobaki EPL la sivyo Championship itaanza kuonyeshwa mabanda ya mpira msimu ujao.