Dubai imejengwa kwa pesa haramu zote za dunia

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Mnaweza kubisha ila Airport ni geresha kusema ndio imejenga jangwa.
Mafuta nakataa kabisa maana yaligundulika siku nyingi kabla ya dubai.

Matapeli,human trafficking,pesa chafy,udukuzi na kila jambo unalofahamu dili zote ni dubai.

Hush pup yule mnaijelia alikuwa anaishi dubai.

Utakatishaji wa pesa wa kiduku hupo dubai.

Warusi wamejazana dubai na wanaijeria,pamoja na mascammer ofisi zao zipo dubai.

Mikataba mibovu hipo dubai.

Dhahabu chafu hipo dubai.
 
Hupo, hipo, mnaijelia..!!! Na hiki kiswahili chako kibovu kipo Dubai?
 
Nadhani bandari yao ya Jebel ali Dubai port ndo chanzo cha mtonyo wote
 
Uchambuzi mwingine ni wa kujifariji tu, na wala hauna maana yoyote.....
Ni sawa na mtu anatumia muda wake kuchambua kuwa Passo ni gari nzuri kuliko prado
kwa sababu, inatumia mafuta kidogo, gharama za service ndogo, gharama nyingine kama matairi na spea bei rahisi, na hata ukipaki mjini unahitaji eneo kidogo.....UKWELI UNABAKI PALE PALE KUWA, UONGOZI MZURI NA USIMAMIZI WA MAPATO NA MATUMIZI WA KIWANGO CHA JUU KABISA bila kusahau UBUNIFU & EXPOSURE, NDIO UMEFIKISHA DUBAI PALE ILIPO! Hayo mapato yangekuwa huku Afrika, pengine nusu yake ingeishia kwenye mifuko ya viongozi na familia zao.....
 
shida unaangalia mpira.Nenda kuwa mchambuzi wa CNN.mkipewa barua ndefu msomi na mkipewa fupi mnajua kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…