BLACK MARXIST
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,458
- 5,352
Hahaha nakuja PM boss tuyajenge.
Muajiriwa wa kuchana magogo ziwe mbao.Na vilevile ni mbebaji wa hayo magogo makubwa na mbao kupeleka anapoelekezwa.Shughuli hizo mara nyingi hufanyika porini panapopatikana miti ya mbao.Njoo huku Mpembampazi utatuona wagubi.[emoji23][emoji23][emoji23]