Nimeangalia post zooote kwa makini sana kwa hii thread. Nachotaka kusema ni kwamba kwa Vijana hasa wa-kitanzania naomba niwaase kidogo tu kutokana na kile ambacho mimi mwenyewe nimeshuhudia kwa macho yangu katika kipindi ambacho nimefanya kazi huko.
Most of comments ambazo watu wametoa humu ni positive na true about UAE and Middle East in General. Kule human rights ni kitu kigeni sana hasa kwa foreigners (these includes Indians, Pakistani, Bangladeshi, Philipino ambao naweza kusema ndio wame dominate kwa kiasi kikubwa) wanaotoka nchi masikini Africa inclusive, watu wanafanyishwa kazi kupita kiasi na huishia kukosa hata posho zao kidogo ambazo ni haki zao (coz mimi siiiti mishahara hiyo), respect ni kitu utasikia kwa masikio u will never find it, maisha ni ghali sana hata kama ungelipwa hizo cent/posho, people are frustrated na wamefikia hatua kukosa utu coz of these frustrations.
If you go to the ministry of Labour most cases ni employee kuwashitaki Employers wao kwa kutowalipa posho zao forget hayo mateso mengine ambayo hayaainishi na waajiliwa.
So please be careful sana vijana ambao mna ndoto za kwenda kufanya kazi huko especally kupitia hawa employement agents.