Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kama ukihasiwa kwa nuvu halafu una akili timamu huwezi hata kupeti peti na kula denda au kuzama uvinza?Kuweni makini, nilipata kusoma habari fulani kwenye internet kwamba kuna watu WANAHASIWA kinguvu katika baadhi ya nchi za mashariki ya kati, kisha wanafanywa kuwa wasimamizi wa wanawake wa mabosi, Wanawahasi ili wasiweze kuwaingilia hao wanawake!.
Ina mana huko dubai hawawezi kufanya kazi ya usekyuriti..damn, msiamini hii kitu!!.Dubai my foot!!