Dubai job

Dubai job

halafu mkisha tuchukua mkaanze kutudondosha kutoka ghorofani au mtukate midomo.....akhaa
 
Msifanye watu kama wajinga bwana...shida za watu zisiwafanye watumwa....hakuna kazi ya aina hiyo...be specific plz...we need terms...this is no longer black market
Hatuwezi kuvumilia unyanyasaji wa namna hii
 
halafu mkisha tuchukua mkaanze kutudondosha kutoka ghorofani au mtukate midomo.....akhaa

Kama gorofa si refu basi utakuwa na bahati, sana sana utavunjika mkono lakini umeokoka.

Kuna wakazi fulani huko Tanga wakikusimulia yaliyowakuta huwezi amini. Binti mmoja alishia kugeuzwa changu, mwingine aliahidiwa kazi kufika kule kazi sio ile aliyoahidiwa, akaishia kugeuzwa manamba kama si 'mtumwa'. Wote wawili walirudi bongo kwa kusaidiwa na wasamalia wema.
 
poa kwa wanaopenda wata apply na kupewa terms but kwa wanao critise jitahidini kufikiri negative and positive then fanyeni uchunguzi kabla ya decision.. ninao watu wengi waliofanikiwa uko na wachache walioteswa but haimanish kama generally kufanya kazi dubai ni mbaya.. hamkeni vijana.. I cant see a great thinker... ka yupo ajitokeze
 
Nimeshawahi kuona documentary kuhusu waajiri wa Dubai wanavyonyanyasa wafanyakazi. Kimsingi mfanyakazi anakuwa hana haki yeyote, unanyang'anywa passport, kipigo, na huenda ukaishia jela. In fact unakuwa treated more or less kama mtumwa. Mtu akienda huko aende at his/her own risk!!
 
Mimi hapa ni mgeni;labda wenyeji mtupe taarifa kamili na siyo pungufu.
 
Msifanye watu kama wajinga bwana...shida za watu zisiwafanye watumwa....hakuna kazi ya aina hiyo...be specific plz...we need terms...this is no longer black market
Hatuwezi kuvumilia unyanyasaji wa namna hii

kabisaaaa!
 
Human trade is different from slavery. The form seems to be at work.
 
Hii video inaonyesha jinsi wafanyakazi kutoka Africa wanavyodhalilishwa huko Dubai:

 
Last edited by a moderator:
Kuweni makini, nilipata kusoma habari fulani kwenye internet kwamba kuna watu WANAHASIWA kinguvu katika baadhi ya nchi za mashariki ya kati, kisha wanafanywa kuwa wasimamizi wa wanawake wa mabosi, Wanawahasi ili wasiweze kuwaingilia hao wanawake!.
 
not a job with terms. you will be used in every possible way....be humiliated as if you not a human being!!!!! this is neo-slavery for real....where rape is justified for a black person/woman and sodomy...for men....it is a truth and no joke....sisi ni wanadamu kama wao, dont go and sell your humanity there....
 
Back
Top Bottom