Dubai kuwapa Wakenya visa ya miaka kumi

Dubai kuwapa Wakenya visa ya miaka kumi

Sisi Tanzania tunajenga maghorofa kwa pesa ya maparachichi, tuna ardhi hatuihonga kwa Mzungu.

Unamaanisha Wakenya waliamua kohonga ardhi yao yote kwa settlers na wakawahonga familia za akina Kenyatta, Jaramong na Ruto inamana kuanzia kiambu hadi mlima kenya hawana cha kwao.[mention]MK254 [/mention] njoo ujibu kidogo hapa kama kweli settlers ndio hufaidi ardhi yenu ama laaah.
 
kuna rafiki yangu wa Facebook ni mtu wa mombasa Sasa hivi yupo saudia ni mwalimu.
Nilimuuliza ameendaje Saudi akaniambia ametumia wakala.
Nikamwambia anifanyie mpango na Mimi akasema mawakala wa Kenya hawaruhusiwi kusafirisha raia wa nchi nyingine
 
Hapa Kenya hakuna kazi ya kuajiri hawa watu wote. Isitoshe huko nje watalipwa mshahara mara nne au tano ya kile wanacholipwa hapa Kenya. Punguza wivu wakati mwingine.
See? The so-called educated individuals that cannot even create reasonable, sustainable employment opportunities in and for their own country! Pathetic! Mental slavery at work!

I don't see any difference from those empty-headed guys who blatantly brag having taken some selfie beside a neighbor's property or something.
 
Tatizo unatumia maneno bila kujua maana yake, neno fact usilitumie kizembe hivyo, nimekuambia kuna madogo wengi mtaani wamesomea vitu vikubwa na sio rahisi kuwaajiri wote kwa mpigo, hivyo kama kuna namna wanapata fursa za kwenda kuongeza maujuzi huko Ulaya mbona wazuiwe.
Poor you! Go back to ^skull^!
 
Unamaanisha Wakenya waliamua kohonga ardhi yao yote kwa settlers na wakawahonga familia za akina Kenyatta, Jaramong na Ruto inamana kuanzia kiambu hadi mlima kenya hawana cha kwao.[mention]MK254 [/mention] njoo ujibu kidogo hapa kama kweli settlers ndio hufaidi ardhi yenu ama laaah.
Regarding the land question, Kenyans are literally having their compatriots in SA! Get the connection? Almost everyone in the two heavily foreign-occupied countries is, as it were, a tenant in their own land!
 
Hizi ni nadharia za watu waliojichokea na wazembe.....
Mwanzo, Kenya hatuna upungufu wa watalaam, vyuo vinazalisha kila mwaka, kwa hivyo kunakua na imbalance kwenye supply and demand of labour, hivyo sio nadra umkute mtu amesomea astrophysics lakini bado anasaka ajira maana makampuni yanakuhtaji uwe na ujuzi wa walau miaka mitano.
Sasa watu kama hao wakiondoka kwenda kwenye mataifa kama hayo ambapo wataongeza maujuzi kwa kufanya kazi kwenye mazingira ambayo watakutana na kila aina ya vitendea kazi na equipments, watarudi kama wameiva pia wakiwa na hela za wao kuwekeza bila kutegemea kuajiriwa.
Watanzania tupo humu humu na Kiswahili chetu+inferiority yetu
 
Back
Top Bottom