DUBAI mbona pa kawaida mno? Shobo ya nini?

Kweli hapa ni kulinganisha kifo na usingizi.
 
Ndio kuna boya mmoja nyumbani kwetu akasema pia UK na US hamna issue ovyo tu. Nikamuuliza have u been to Central London au the boroughs of New York au ulikua huko country side tu. Acha Balaa....

Home is best ila acha tu mbele kuna miji flavour flan hivi ya life hupati sehem nyingine yeyote duniani hapa....ni shida na ukikaa pande hzo for atleast 2 years....ukirudi kwenu bongo pale pale airport JKNIA as u check out utapaona paki seng* sanaa. Ila as u live on slowly unaanza kupazoea ila to be honest this country is just ugly man though we have everything humu.
 
Mleta uzi siamini kama anathubutu kukanyanga tena hapa
 
Wee mleta Uzi unataka gombana na Le Mutuziii...mwenzio hata Nairobi kwake dili
 
dubai zipo nyingi labda kaenda dubai ya "mloganzilla"
 
Ww kumbe ulifuata malaya hukuenda kutalii na malaya ulo waona ni wapale deira wanajiuza kwa kujipanga kama kama malaya wa sinza hukuenda sehem za staree kama maeneo ya buruuju khalifa au buruju ll aarabi usidanganye watu wenzio wanatoka ulaya kwenda kula maisha dubai
 
"This country is just ugly man"
Watu Kama nyinyi hata kijijini kwenu hamjajenga hata choo.Mkirudi Bongo mnabana puwa unakaa Kwa washikaji
Masaki unaona Haya kwenda kwenu Kwa sababu hujajenga.
Weye Na wote Kama weye ni majanga ktk nchi yetu.
Tafadhali usirudi Bongo Na hatuta kumisi.
 
Absolutely right kiongozi. Ukitoka JNIA kuelekea home, you feel so stranded, kama vile umepotea kidogo. Home is best lakini mbelez ni kutamu.
 
we ulienda dubai ya GEZAULOLE.
 
Ha ha ha kwanza kitendo cha kusubiria ofa na kupanda fly Dubai ni wazi huna pesa ya kuiona Dubai wala uzuri wake, ukitaka uijue Dubai kwanza uwe na pesa, mana kule kila sehemu nzuri ni pesa, na kama ulikwenda ukanunua hao wenye sura mbaya wamekugonga pia hao ni dola 20 mpaka 30, Mimi kila December nakwenda kule, na nikienda huwa sitaki hata kurudi, nina wasiwasi ulikosa wenyewe wa kukutembeza na kwa vile hukuwa na pesa ukaishia Deira ukanunua wanawake wa deira. ila ni sehemu nzuri sana kwa ajili ya kupumzika na hata kufanya shopping pole sana. dec ya 2016 labda nikushtue twende pamoja nikuonyeshe Dubai, lipia ticket tu 🙂
 
Dubai gani unayoilinganisha na bongo?
1. Ni sehemu gani ya Tanzania isiyo na inzi, mende wala mmbu? Dubai inaua wote
2. Ni sehemu gani ya Tanzania iliyopangiliwa na safi kama dubai?
3. Mjengo mrefu duniani
4. Usalama, uaminifu
5. Mali/ biashara
6. Watu wanaomogopa mungu
Wewe labda uliota au ulifata wanawake kweli
 
Hajafika Dubai anatuchosha tu
 
Absolutely right kiongozi. Ukitoka JNIA kuelekea home, you feel so stranded, kama vile umepotea kidogo. Home is best lakini mbelez ni kutamu.

Ye kno the drill.

Wenzetu wako soo organised...yan unangoja basi kituo una check ratiba ya bus online na tickects unaweza book & pay online, yako always on time. Bus likichelewa sana ni dakika 5. Train ni almost accurate.

Issue hapa nikujifunza kwa wenzetu nchi kama UK hawana anything big to make that country that much wealthy but ni discipline na visions tu. Hata hapa bongo inawezekana tukiamua.

Kwanza kabisa tuanze na good financial infrustructure.....ifike a point hata kununua juice kwa mangi tununue na card ya bank au mobile money bila makato yoyote ya kipuuzi. Bank charges kwa wenzetu ni almost zero....ni charges ndogo ndogo sanaa.
 
Kwa sifa hizo natakiwa niende Dubai haraka....!! Sio kwa sifa za machangu kama Huyo jamaa!!!
 
Ooooo Gharama za kuishi central London Au New York .
Watu wanaoishi hizo sehemu hawa tangazi Kama wewe.
Labda unaongelea central London
Ya Tandale Na New York ya pale Manzese hizo sehemu naam nazijua Gharama zake.

Nonsense.

Utabaki kupasikia kwenye TV tu. Jitume kijana. Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…