Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww kumbe ulifuata malaya hukuenda kutalii na malaya ulo waona ni wapale deira wanajiuza kwa kujipanga kama kama malaya wa sinza hukuenda sehem za staree kama maeneo ya buruuju khalifa au buruju ll aarabi usidanganye watu wenzio wanatoka ulaya kwenda kula maisha dubaiWadau! kiukweli nilikuwa nasikia sifa za Dubai nikawa natamani kwenda kwa miaka kadhaa nimekuwa nikijpanga/kuweka pesa ya nauli mwezi februari nikaona ofa ya FLYDUBAI 50% OFF nikakata tiketi ya kwenda huko kutalii daah nilipofika kiukweli tofauti na sifa zooote nilizokuwa nahadithiwa! nimekuta pa kawaida mno na vitu vingi mule ni (Artificial) tu. Hata "dada zetu" wabovu sana (sura & shepu ni msiba, wengi ni toka Nigeria & Kenya na bei ghali mno, 100 USD/one hour, Kwa mtazamo wangu bora kwenda kutalii South Africa ambako mizigo ya maana, hasa wapenda MATINGINYA kuliko niliyoyaona Dubai. Kimsingi najutia pesa (Nauli = japo ilikuwa OFA 50% na malazi niliyolipia).
Wamkoani bhana!!!kogamboni ndo wapi??Itakuwa ulienda dubai ya kogamboni
"This country is just ugly man"Ndio kuna boya mmoja nyumbani kwetu akasema pia UK na US hamna issue ovyo tu. Nikamuuliza have u been to Central London au the boroughs of New York au ulikua huko country side tu. Acha Balaa....
Home is best ila acha tu mbele kuna miji flavour flan hivi ya life hupati sehem nyingine yeyote duniani hapa....ni shida na ukikaa pande hzo for atleast 2 years....ukirudi kwenu bongo pale pale airport JKNIA as u check out utapaona paki seng* sanaa. Ila as u live on slowly unaanza kupazoea ila to be honest this country is just ugly man though we have everything humu.
Absolutely right kiongozi. Ukitoka JNIA kuelekea home, you feel so stranded, kama vile umepotea kidogo. Home is best lakini mbelez ni kutamu.Ndio kuna boya mmoja nyumbani kwetu akasema pia UK na US hamna issue ovyo tu. Nikamuuliza have u been to Central London au the boroughs of New York au ulikua huko country side tu. Acha Balaa....
Home is best ila acha tu mbele kuna miji flavour flan hivi ya life hupati sehem nyingine yeyote duniani hapa....ni shida na ukikaa pande hzo for atleast 2 years....ukirudi kwenu bongo pale pale airport JKNIA as u check out utapaona paki seng* sanaa. Ila as u live on slowly unaanza kupazoea ila to be honest this country is just ugly man though we have everything humu.
Hao kweli Wanawake ?wacha bhana Au madume jike!!!!!!Hata manzese ya Dubai iko bomba tu sijui wewe ulienda ipi.........
![]()
Hajafika Dubai anatuchosha tuDubai gani unayoilinganisha na bongo?
1. Ni sehemu gani ya Tanzania isiyo na inzi, mende wala mmbu? Dubai inaua wote
2. Ni sehemu gani ya Tanzania iliyopangiliwa na safi kama dubai?
3. Mjengo mrefu duniani
4. Usalama, uaminifu
5. Mali/ biashara
6. Watu wanaomogopa mungu
Wewe labda uliota au ulifata wanawake kweli
Absolutely right kiongozi. Ukitoka JNIA kuelekea home, you feel so stranded, kama vile umepotea kidogo. Home is best lakini mbelez ni kutamu.
Kwa sifa hizo natakiwa niende Dubai haraka....!! Sio kwa sifa za machangu kama Huyo jamaa!!!Dubai gani unayoilinganisha na bongo?
1. Ni sehemu gani ya Tanzania isiyo na inzi, mende wala mmbu? Dubai inaua wote
2. Ni sehemu gani ya Tanzania iliyopangiliwa na safi kama dubai?
3. Mjengo mrefu duniani
4. Usalama, uaminifu
5. Mali/ biashara
6. Watu wanaomogopa mungu
Wewe labda uliota au ulifata wanawake kweli
Ooooo Gharama za kuishi central London Au New York .
Watu wanaoishi hizo sehemu hawa tangazi Kama wewe.
Labda unaongelea central London
Ya Tandale Na New York ya pale Manzese hizo sehemu naam nazijua Gharama zake.