Bandari ya Jabel Ali anapokea na kutoa makasha ( container) 1,333 kwa kila lisaa limoja, Inachukua muda wa dakika 20 tu kuondoa mzigo katika bandari ya Jabel Ali na kuuhamishia katika bandari kavu ambako unakua tayari kusafirishwa popote duniani. Hii inaipa sifa ya kipekee Dubai kama kituo kikuu cha usafirishaji mizigo duniani. Haitiliwi shaka kua Dubai ni kitovu cha biashara duniani kwa sasa. The world's most integrated logistic hub.