DUBAI MEANS BUSINESS, ( from a dust village to a global hub).

DUBAI MEANS BUSINESS, ( from a dust village to a global hub).

Mwanahisa

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
1,382
Reaction score
513
Bandari ya Jabel Ali anapokea na kutoa makasha ( container) 1,333 kwa kila lisaa limoja, Inachukua muda wa dakika 20 tu kuondoa mzigo katika bandari ya Jabel Ali na kuuhamishia katika bandari kavu ambako unakua tayari kusafirishwa popote duniani. Hii inaipa sifa ya kipekee Dubai kama kituo kikuu cha usafirishaji mizigo duniani. Haitiliwi shaka kua Dubai ni kitovu cha biashara duniani kwa sasa. The world's most integrated logistic hub.

attachment.php
attachment.php
 
Attachments

  • Jabel ali port.jpg
    Jabel ali port.jpg
    14.4 KB · Views: 427
  • jabel ali port 2.jpg
    jabel ali port 2.jpg
    7.4 KB · Views: 429
Bandari hiyo inachukua dakika 20 ya singapore dakika 3 ndio ya kwanza duniani kwa ufanisi,je yetu ya dar es salaam siku ngapi vilee??
 
Bandari hiyo inachukua dakika 20 ya singapore dakika 3 ndio ya kwanza duniani kwa ufanisi,je yetu ya dar es salaam siku ngapi vilee??

Hata yetu iko fasta mkuu, wiki moja tu mzigo unatoka!
 
Back
Top Bottom