Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo Polisi hutumia magari ya kifahari

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
[HASHTAG]#FAHAMU[/HASHTAG] Dubai ndio Mji pekee duniani ambayo askari polisi wake wanatumia magari ya kifahari zaidi na yenye spidi kali zaidi.



Polisi hao wanatumia magari aina ya Bugatti Veyron, Ferrarri FF au Lamborghini Aventador wanapokuwa kwenye kazi zao na kukamata wahalifu.





Hii ingekuwa bongo unadhani hali ingekuwaje!?
 
Point of correction, ni kweli muungano huu ni wa kipekee na wa aina yake lakini ukweli ni kwamba DUBAI si nchi ni mji mkuu na ni emirate ndani ya UAE, ukiangalia kwa haraka unaweza kuiona kama nchi kwa sababu hizo state7 zinajitegemea kama ilivyo sisi na zanzibar AM VERY SORRY
 
Kwahyo kujitegemea huko ndio kunaifanya Dubai kuwa nchi. Daaah elimu yetu Inahitaji mapinduzi makubwa sana. Ukute una degree hapo
 
Dubai sio mji mkuu wa UAE,Dubai ni mji wa kibiashara zaidi ktk UAE Mji mkuu ni ABU-DHABI
 
Nimempenda Bure huyo WP
 
Dah! Kwahiyo kama hujawahi kupanda Bugatti inabidi uende Dubai afu jitose kuwa kibaka ili wakukamate wakupeleke central na Bugatti.
 
Hizo gari hazifanyi Patrol kama ma land cruiser ya Tz!..
Inapotokea road chase taarifa hutumwa makao makuu ambapo huangalia mhalifu anatumia aina gani ya usafiri mf. buggati, lamboghine, ferrari, mcLaren etc. hapo sasa ndipo police task force husika inapewa go ahead kuingia mtaani
So 'Dubei' zipo gari za kawaida za police hizo super car ni kwa matukio maalum ambayo wezi wametumia super car!..
Kwa waliocheza need for speed most wanted wanajua hili!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…