Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo Polisi hutumia magari ya kifahari

Dubai ndio nchi pekee duniani ambayo Polisi hutumia magari ya kifahari

Mi sijaona ufahari wowote.

Mpaka nione nchi haina wahalifu ntawaelewa.

Kwasasa Tanzania ya Magufuli inampango wa kuongeza ndege.

Wao wabaki na tugari twao Sisi tunapita hewani.daadeki.
Tunasonga, pasua anga,...
UAE hakuna Uhalifu Rate ya Uhalifu ni ndogo sana
 
Na capital city ni Abu dhabi. Dubai ni centre ya biasharah
 
Mi sijaona ufahari wowote.

Mpaka nione nchi haina wahalifu ntawaelewa.

Kwasasa Tanzania ya Magufuli inampango wa kuongeza ndege.

Wao wabaki na tugari twao Sisi tunapita hewani.daadeki.
Tunasonga, pasua anga,...
Unafananisha tanzania na dubai? Ivi dubai ni nchi mpaka uifananishe na tanzania?

Alafu unasema mpango wa kuleta ndege? Unaongelea mapangaboi au?

Kama unataka kupambana na dubai kwenye ndege jua ni moja ya miji yenye aviation industry iliyo juu kabisa... Mpaka tuwafikie kwa hizi sarakasi za magufuli itachukua si chini ya miaka 1000.
 
DUBAI, ABU DHABI, SHARJAH,,AL AIN,AJMAN ,FUJAYRAH UMM AL QUWAIN NA RAS Al-KHAYMAH KWA PAMOJA NDIO ZIMEUNGANA NA KUWA NCHI MOJA INAYOITWA SASA UNITED ARAB EMIRATES KWA KIFUPI UAE
Yan umenielewesha na mimi nilikua sijui pia siku zote nilikua nikijua dubai ni nchi
 
Hizo gari hazifanyi Patrol kama ma land cruiser ya Tz!..
Inapotokea road chase taarifa hutumwa makao makuu ambapo huangalia mhalifu anatumia aina gani ya usafiri mf. buggati, lamboghine, ferrari, mcLaren etc. hapo sasa ndipo police task force husika inapewa go ahead kuingia mtaani
So 'Dubei' zipo gari za kawaida za police hizo super car ni kwa matukio maalum ambayo wezi wametumia super car!..
Kwa waliocheza need for speed most wanted wanajua hili!.
nimesoma kwa umakini maskini mimi kumbe unatusimulia ma game!
 
by the way huo mji seems uhalifu ni almost zero. I like the place kwa utulivu.sio bongo yetu unyang'anyi kila kona.
 
nimesoma kwa umakini maskini mimi kumbe unatusimulia ma game!
Baadhi ya Game ni mfano wa maisha ya sehemu fulani!!..
Unapokuwa ukifukuzwa na polisi huanza na gari za kawaida lakini wakishaona unatumia gari zenye nguvu kuzidi zao basi hata wao huleta gari zinazoweza kufukuzana na wewe!..
Ndio maana kuna hadi SUV police car kutegemea na level of threat!..
 
Hizo gari hazifanyi Patrol kama ma land cruiser ya Tz!..
Inapotokea road chase taarifa hutumwa makao makuu ambapo huangalia mhalifu anatumia aina gani ya usafiri mf. buggati, lamboghine, ferrari, mcLaren etc. hapo sasa ndipo police task force husika inapewa go ahead kuingia mtaani
So 'Dubei' zipo gari za kawaida za police hizo super car ni kwa matukio maalum ambayo wezi wametumia super car!..
Kwa waliocheza need for speed most wanted wanajua hili!.
upo sahihi kiongozi itakuwa ni kichekesho land cruiser kuikimbiza Bugatti,inamaana muharifu akiwa na Bugatti bongo ndani ya dakika chache anakuwa ameshawapotea na mawasiliano yalivyo mabovu.
 
Kwahyo kujitegemea huko ndio kunaifanya Dubai kuwa nchi. Daaah elimu yetu Inahitaji mapinduzi makubwa sana. Ukute una degree hapo
Duuuh kuna mtu sahiv yupo kitaa alkosa mkopo wa kupata hyo digrii kwa kubaniwa na huyu wa "Nchi ya Dubai"
 
Back
Top Bottom