Dubai walifanya Royal Tour lini? Wapi?

Dubai walifanya Royal Tour lini? Wapi?

Elimu, siasa safi, uwazi kwenye uwekezaji, usalama wa wageni, uboreshaji wa miundominu ya utalii, michezo, kuepuka rushwa na UZALENDO KWA TAIFA. Ukifanikiwa kwenye hayo huna haja ya kutengeneza filamu ya Royal tour.
 
Swali zuri ila Dubai sio direct competitor wa Tanzania katika utalii. Dubai anashindana na Singapore, katika aina ya watalii wanaotafuta.

Ila Royal Tour wajipange baada ya mwaka watupe faida ya hii filamu kwa utalii. Waonyeshe namba.
 
Japo filamu ya Royal Tour sio mkombozi wa utalii Tanzania ni booster kubwa ya utalii wetu kwa soko la Marekani.
P
Hii si filamu ya kwanza kutengenezewa ila ni ya kwanza Rais kushiriki, filamu ya kwanza ilitengenezwa na wacheza sinema maarufu duniani kwa wakati ule toka Hollywood, ilipita tu kwa sababu hatukuipokea kwani haikuwa na radha zetu! Ninaamini na hii huenda mimi, wewe na yule hatutaishabikia kuliko ya Mamakimbo wa Yombo Buza, si ajabu baada ya uzinduzi hapa ndio ukawa mwisho wa baraza mkeka ukakunjwa.
 
Swali zuri ila Dubai sio direct competitor wa Tanzania katika utalii. Dubai anashindana na Singapore, katika aina ya watalii wanaotafuta.

Ila Royal Tour wajipange baada ya mwaka watupe faida ya hii filamu kwa utalii. Waonyeshe namba.
Ikiwa hawakukwambia mmiliki wa hiyo filamu nivipi watasema kuhusu matokeo sana sana watapika takwimu tu
 
Ikiwa hawakukwambia mmiliki wa hiyo filamu nivipi watasema kuhusu matokeo sana sana watapika takwimu tu
Wadau wa utalii watasema tu hata wao wakikaa kimya raia zitaongea
 
Ya kwao wao wenyewe, ya kwetu tuachiewe wenyewe...

Unajua namna Dubai inavyijitangaza...
 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa. Miaka zaidi ya 6
 
Back
Top Bottom