Dubai walifanya Royal Tour lini? Wapi?

Baada ya hapo watalii wataota tu kwamba Kuna nchi mashariki mwa afrika Ina Serengeti,Kilimanjaro,wanadai na zenji!?
Wanaweza kujua kuna wanyama kama simba na tembo lakini kwa upande wa uelewa wa watu na viwango vya kufikiri vya binadamu bado sana.
 
Ukweli mtupu, Asilimia kubwa ya watalii wetu ni kutoka Europe, Binafsi imenishangaza sana kwenye kufanya shobo U.S
 
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Dubai wanalipa wachezaji wakubwa mamilioni ya dola kutangaza mji wao. Mfano kwa sasa Ambassador wao ni Shah Rukh Khan yule mcheza filamu maarufu wa India.
 
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Utalii wa Dubai una promotion za gharama kubwa zaidi na zaidi sana ya promotion ya Royal Tour.

Hata hao Royal Tour ya Movie waliipata idea hiyo kutokea Dubai, kama ulikuwa huelewi, soma hiyoooo...

Kama hauna hoja ni vyema ukaiacha Post ipite.
Wewe ni mmoja wa wanaoiona filamu hiyo ni mkombozi kwenye utalii, ni kujidanganya.
Hilo neno mkombozi wapelekee Walutheri. Linahusu nini hapa. Utalii ni biashara na kinachoongelewani biashara, wacheni udini wenu wa kijinga-jinga.
 
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Kizuri chajiuza
 
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?
Chema chajiuza, kibaya chajitembeza!

Miundo mbinu imara, nidhamu serikalini, uchumi usioyumba,. kuondoa ulaghai kwenye jamii ndiyo movie ya kuleta watalii.
 
enzi za rais nyerere watalii walikuwa wengi sana lakini hakukuwa na royal tour
Ulikuwepo? Usijidanganye enzi zile utalii haikuwa issue ndiyo maana hata Tanzania ilikuwa haijulikani nje ya Afrika. Ukisema Tanzania walikuwa wanakuuliza ' jee Tanzania iko Nairobi?'. Hata mlima Kilimanjaro ulikuwa unajulikana kama ulikuwepo Kenya.
 
P! Yale makubaliano ya1998 kurusha ndege direct US to TZ tumefika wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…