tatizo una upeo mdogo sana. kuna vitu vidogo sana unashindwa kung'amua. kama Dubai wametumia njia fulani sio lazima na sisi tutumie hiyo hiyo. wakati mwengine mazingira hayafanani na mahitaji ya wakati pia. Royal tour ni kwa mazingira yetu. kagame yeye kafanya royal tour na bado anatumia akina messi. usikariri.
Takwimu toka Idara ya Utalii Dubai unaonyesha kwa mwaka 2019 tu Jiji la Dubai pekee lilipokea watalii yapata milioni 16.
SWALI: wao walifanya Movie ya Royal tour lini?