Dubai wamekuja na teknolojia ya ATM ROBOT inayotembea utakapoitaji pesa sehemu yoyote

Dubai wamekuja na teknolojia ya ATM ROBOT inayotembea utakapoitaji pesa sehemu yoyote

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Wenzetu wanazidi kusonga mbele.Usalama wa dubai swala la wizi unaweza kuwa umezibitiwa sana.

Sasa wamekuja na ATM ROBOT ambayo itajileta yenyewe na kutoa pesa.

😄 Kibongo itakuwaje ikaitwa uswahilini si wanaikaba huko huko.
20251212_170640.jpg
 
Ikija uswahi wanalikaba biashara inaisha hapo hapo
 
Sisi tuna zile zinaitwa BUZA kutoka CHINA zinatema coins za miambili
 
Back
Top Bottom