Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

Watawala Wanapoiba pesa za umma Kisha wakawaita Wageni na kuwapa rasilimali zetu Ili wafidie pesa walizoiba nadhani ni jambo lisilofaa kabisa . Hawa wanatakiwa wakutane na Kizazi kipya kisichokubali kushangilia Wezi . Hawa ni Wezi waliojificha NDANI ya CCM wanashirikiana na wageni kuiba Mali za umma bila Huruma.

Hakuna cha kuwafanya na ndivyo wanavyoamini . Zito Kabwe amelaani Mapinduzi ya Níger lakini hakuwahi kulaani Shida za Wanaiger WENGI.
Mapinduzi yanawaumiza wachache na kuwanufaisha WENGI lakini pia yanajenga usawa na Haki Kwa wote. Kuna wakati Wanasiasa Wanajisahau na kujiona kuwa wao ni miungu na Kila jambo Jema wameumbiwa wao na familia zao.
Mapinduzi yanawakumbusha watawala wahuni kuwa Dunia hii sio Mali Yao.

Mfano kule geita kuna MTU anajiona kiwa Jimbo Fulani ni Mali yake . Yuko tayari kumuua yeyote alimradi Jimbo kubaki kwake na chama chake . Ana pesa za kuwahonga wasimamizi Wa Sheria na kuajiri wauaji. Wakati huo huo haoni wizi unaofanywa na wawekezaji Wa Madini kutorosha Madini mchana na usiku. Sasa watawala Wa CCM Karibu Kila eneo Kwa Sasa wanaiba fedha kumiliki majimbo na uhuni mwingine. Nchi inageuka kuwa pango la wanyanganyi hakuna Tena usawa Wala siasa safi zaidí ya uhuni. Zito kabwa haoni uhuni huo Kwa sababu ananufaika yeye. Uwekezaji Wa kihuni ndio unaowanufaisha Wageni na kushirikiana na Wanasiasa kutorosha Mali za umma matokeo yake nchi nyingi zenye rasilimali Afrika Nzima zinaelekea kuingia kwenye vita . Sasa Majeshi yatakua yana kazi Gani kama Wanasiasa watageuza nchi zao kuwa eneo la Waporaji. Je,Wanajeshi wanagapi watabaki na Umaskini mkubwa Kwa kuwalea Wanasiasa !
Jeshi Kwa Mfano Lina askari laki moja . Karibu askari elfu tisini wanatoka kwenye familia Maskini kabisa . Wanabaki kuwalinda Wezi wasiojali mustakabali Wa Vizazi vijavyo . Hapo utalaumu vipi Jeshi la Niger?
 
Ccm sijui akili mmeziweka wapi, sasa mkataba wa hovyo namna hiyo una faida gani?

Bora hata kwa Kenya wanataka share kubwa, hapa kwetu wanapewa bure kabisa, bandari zote.

Hakuna mahali mkataba wa dpw unaekeza kuwa wataweka ntaji wa sh. Ngapi
 
Ccm sijui akili mmeziweka wapi, sasa mkataba wa hovyo namna hiyo una faida gani?

Bora hata kwa Kenya wanataka share kubwa, hapa kwetu wanapewa bure kabisa, bandari zote.

Hakuna mahali mkataba wa dpw unaekeza kuwa wataweka ntaji wa sh. Ngapi
Hao sio ..nao wamekopa duniani waje wawekeze. Wapo nasdaq..hivyo wakiona namna gani wanatutandika na kesibyabtrilioni 27 au tuwaachie nchi yote
 
Mkuu utaumiza kichwa bure hao wapingaji humu co wafanyabiashara Wala hawajawahi kutumia bandari ww usitumie nguvu kubwa kuwaaminisha ndio wakati wao wanaamini sio !
We bandarini ulipotisha nini na ulipata changamoto gani zinazokuja kutatuliwa
 
Hao sio ..nao wamekopa duniani waje wawekeze. Wapo nasdaq..hivyo wakiona namna gani wanatutandika na kesibyabtrilioni 27 au tuwaachie nchi yote
Kumbe wapo Nasdaq ?
 
Kenya wauze bandari kwa dola bl 6 ptuu ngoja tuuonee
 
Haya masharti yanatofauti Gani na kuambiwa utapewa mihela kama utakubali wakunanihihiii............[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Changamkia fursa ila make Shure unavaaa kanga kabisa
 
Hatuhangaiki tatizo mkataba mbovu, haijalishi race yake
Kifupi . Hao ni Port and Free Zone World FZE. Na wamekopa large banks duniani. Nakumbuka Saaed Al Kazmi of Rothchild and co ndio financial advisor. Hii kitu ipo kwenye net. Kwa hiyo we are in deep shit indeed.
 
Tanzania tukivunga na kuleta mabishano yasiyo na Tija wenzio wanachangamkia fursa.

Siku inakuja ambayo Bandari ya Dar itakuwa tembo mweupe.

Kwa Mwarabu Kila Nchi ya Dunia itaoiga goti maana hao ndio wenye pesa Kwa Sasa
Mawazo ya kipumbavu sana haya.

Na kwa bahati mbaya tunao wapumbavu wengi waliojazana huko ndani ya serikali, sijui walifikafikaje huko?
 
Chambo cha divide and rule
 
Yaani wapewe bandari na wasitoe hata 100, faida yote kwao ilhali sie tulikopa kujenga bandari na deni halijaisha, tuwalipie mkopo na riba wakati pesa zote wapeleke uarabuni.

Huu ni ukichaa wa viwango vya juu sana.


CCCM must go!!!
Mtindo huu umeshika kasi sana, na wachagizaji wakuu ni hao tunaowaita 'partners' wetu wa maendeleo; World Bank; IMF, na hata AfDB na wengine wengi.

Sielewi kwa nini 'model' hii ya maendeleo inasukumizwa sana kwa nchi hizi za kiafrika zaidi, kwa maana huko nyuma hili halikuwa ndilo likihimizwa kwa nguvu kama inavyofanyika sasa.

Sijui ni nchi zipi tunazoweza kuziangalia kama mifano iliyopitia njia hii katika maendeleo yao.

Kuna jambo hapa.

Lakini naona kuna nchi wameanza kusukuma kukataa upuuzi huu. Ndiyo maana mapinduzi ya kijeshi yanarudi kwa kasi kubwa.
 
Hata wakiinunua Kenya yoote sawa tu sisi tunachotaka ni win win pact siyo majitu yaje kutumia vitu vyetu tulivyonunua Kwa kukopa na hata deni halijaisha Kwa ahadi hewa zilizomo kwenye mdomo wa mbarawa badala ya kwenye hard copy ya mkataba sasa ikitokea mbarawa kafa Si matrilioni yaliyomo mdomoni mwake ataenda nayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…