Dubai yasema iko tayari kutoa $6 Bilion (Tsh. 15T) kujenga Reli ya Kenya, Uganda na DRC kwa sharti la kuwa na mgao mkubwa Mombasa Port

Kifupi . Hao ni Port and Free Zone World FZE. Na wamekopa large banks duniani. Nakumbuka Saaed Al Kazmi of Rothchild and co ndio financial advisor. Hii kitu ipo kwenye net. Kwa hiyo we are in deep shit indeed.
Hivi dunia hii una wapi pakuwakwepa koo hizo kubwa 7 dunaini?

Fanya ufanyavyo, huna ujanja.

Ukijidai mjanja sana sana utaminywa mbupu kama alivyominywa mwendazake, mwenyewe akaachia.

Maneno ya Kikwete yana maana sana, liele la "kula uliwe" na lile la "kujimwambafai". Naamini kwa uelewa wetu wa Tanzania, ni wachache sana waliyaelewa hayo yana maana gani.

Hatuna ujanja kabisa, ni kukubali wale tuliwe.

Hivi tuna wapi pa kuponyoka?
 
Sio unipe kidogo nikupe kingi hii hapana
Hakuna hilo kwenye biashara za Kimataifa, hupangi wewe bei wewe kijana, Hata gharama za uendeshaji zippo.


Unziona kesi za za Tanzania kimataifa huk? Tumewekewa wazi tusiseme tunaonewa. Tunaoneshwa ujinga wetu wa kujimwambafai.

Wewe hii mikataba ya kimataifa hata kama hujasaini chochote, utalindwa na wao watalindwa. Hakuna ujanja kwa yeyote.
 
Huo ushuzi bongo hatukubali. Na hv technologia zinabadilika kila siku
Wewe ukiukubali usiukubali, watu hawawachi kufanya biashara zao za Kimataifa kwa kuwa wewe hutaki.

Unafikri watu wanalenga mashimo yenu ya Tanzania sasa hivi? Watu wanalenga Congo, watu wanataka kuwahi makinikia huko, yenye kila aina ya mali. Si huu ushuzi wa mashimio yenu yaliyokwisha kokolewa toka enzi za Mjerumani mpaka leo.
 
Sasa mizigo ya DRC itapitia Mombasa au Dar? Hamuoni hapo DPW kushika bandari zote mnampa monopoly mbaya sana?
Watu Hawaoni kwamba tunajiweka katika mercy ya hawa jamaa. Ukiwazingua tu mzigo wa nchi fulani wanaudivert upokelewe katika bandari nyingine mnakosa kipato.
 
Analipwa kwa kazi hiyo
 
Nani asiyetaka CONTROL ?!!

Labda huko kwa viumbe wa SAYARI ZA MBALI ?!!!

Kuna anayekulazimisha kuingia MAKUBALIANO ?!!

Hivi shuleni tunapelekwa kufundishwa "upumbavu"?!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]
So with you small mind, who is in control....!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…