zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,930
Hivi dunia hii una wapi pakuwakwepa koo hizo kubwa 7 dunaini?Kifupi . Hao ni Port and Free Zone World FZE. Na wamekopa large banks duniani. Nakumbuka Saaed Al Kazmi of Rothchild and co ndio financial advisor. Hii kitu ipo kwenye net. Kwa hiyo we are in deep shit indeed.
Fanya ufanyavyo, huna ujanja.
Ukijidai mjanja sana sana utaminywa mbupu kama alivyominywa mwendazake, mwenyewe akaachia.
Maneno ya Kikwete yana maana sana, liele la "kula uliwe" na lile la "kujimwambafai". Naamini kwa uelewa wetu wa Tanzania, ni wachache sana waliyaelewa hayo yana maana gani.
Hatuna ujanja kabisa, ni kukubali wale tuliwe.
Hivi tuna wapi pa kuponyoka?