Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Mwanamfalme hatumdai chochote, kila la heri.Aliyekuwa mshambuliaji wa Klabu ya Yanga Prince Dube amejiunga na klabu ya Hardrock FC ya nchini kwao Zimbabwe.
Baada ya kuondoka kwa Dube sasa Yanga watalazimika Kuingia Sokoni kutafuta mbadala wake kuelekea msimu mpya 2026/27.
View attachment 3620787View attachment 3620787