Tetesi: Dube amesaini Yanga tayari

Tetesi: Dube amesaini Yanga tayari

sinza pazuri

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2014
Posts
3,344
Reaction score
9,066
Habari nilizonazo tayari Prince Dube amesaini mkataba na Yanga wa miaka miwili.

Tutegemee kumuona Dube akikiwasha Jangwani msimu ujao.

20240501_154021.jpg
 
mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azam
Hatuna shida na Azizi kiii..yy alitoka kwao akaja kucheza Yanga shida ni huyo anaeruka ruka hao dawa yao ni kupigwa tuu upofu...
 
Back
Top Bottom