sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azamAtapigwa upofu lango hataliona... π π π π π
kibu denisi ana magoli mangapiHuyu jamaa msimu mzima ana magoli magoli 4!
Atapigwa upofu na atakakuwa anashindana nao namba pale utopoloni.mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azam
Hatuna shida na Azizi kiii..yy alitoka kwao akaja kucheza Yanga shida ni huyo anaeruka ruka hao dawa yao ni kupigwa tuu upofu...mmeshindwa kumloga Azizi ki kila mechi lazima awaweke mtamuweza dube ambaye kila gemu lazima awaweke kutoa azam
Mkataba wake ulifanyika kishikaji haukufata kanuni za TFF hivyo ni wazi Azam wanapoteza muda watashindwa tu.Kwani kule kwenye ice cream kashakubaliwa kuvunja tayari?
Analingana na Jobkibu denisi ana magoli mangapi
Ako na miguu ya kiooTatizo la Prince Dube ni majeraha tu. Ila akiwa kwenye ubora wake, hakika ni mchezaji hatari sana.
Ila la Simba ataliona.Atapigwa upofu lango hataliona... π π π π π
HahahahahaAtapigwa upofu lango hataliona... π π π π π
Hili hata mimi nalihofia sanaTatizo la Prince Dube ni majeraha tu. Ila akiwa kwenye ubora wake, hakika ni mchezaji hatari sana.
Galasa linawakojokea mkojo wa moto kila mechi?.Hamna kitu humo, galasa tu