Tetesi: Dube amesaini Yanga tayari

Atapigwa upofu lango hataliona... [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
We unaota kama Mchezaji wa wastani kama Mayele aliweza kua Top scorer japo Kwa mbinde hivi kuhusu Dube???
Nakuhakikishia atakua mfungaji Bora msimu ujao
 
We unaota kama Mchezaji wa wastani kama Mayele aliweza kua Top scorer japo Kwa mbinde hivi kuhusu Dube???
Nakuhakikishia atakua mfungaji Bora msimu ujao
Bora ningeota...ila nipo live kabisa...
Hana maajabu...kwani alivyokua anacheza Azam alikua na mguu mmoja?
 
Wakati Yanga wanatafuta the best Simba wanahangaika na Marasta.
 
Bora ningeota...ila nipo live kabisa...
Hana maajabu...kwani alivyokua anacheza Azam alikua na mguu mmoja?
Mtambo wa mabao Mudathiri alipokua Azam hakua na maajabu Ila sahivi unaona anachofanya
 
Tatizo la Prince Dube ni majeraha tu. Ila akiwa kwenye ubora wake, hakika ni mchezaji hatari sana.
Nahisi pia, Azam program zao haziko sawa.

Makipa wao wote majeruhi, Mustafa kipa wa kuazima.

Mshambuliaji Jitu mwitu majeruhi.

Majeruhi wengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…