Dube na Aziz Ki kuanza kutupia magoli. Wazee wameshamwelekeza Dube na kumtengeneza

Dube na Aziz Ki kuanza kutupia magoli. Wazee wameshamwelekeza Dube na kumtengeneza

Wanayanga sasa andaeni furaha... Na kububujikwa na machozi ya furaha. Mtafurahi nyie.... We acheni tu.

Muda huu tunamalizia kumtengeneza Dube na mwenzie Aziz Ki. Kisha na Chama naye kesho zamu yake na mwenzie Baleke. Hawa jamaa watatupia magoli mpaka amshangae. Lazima wafungaji bora wawili watokee hapa. Ni wao tu kufuata masharti.

Dube ubishi ndo ulikuwa unamponza. Akina Mudathir wamemueleza umuhimu wa kusikiliza ushauri wa kitaalamu. Asiache mikia kumsanifu kila wakati. Katengenezwa. Sasa akielekeza tu mpira golini. Imo..... Chuma, waya. Batalokota kunyavu benyewe.

YANGA ITACHUKUA UBINGWA PIGA UA. GALAGAZA,PONDA PONDA. MSAHAU YANGA KUFUNGWA. NA KMC WAMETUPA UWANJA NA KUKUBALI MAAHARTI YETU. ATALIA MTU VIBAYA.
Ngano na Hekaya.
Kama ni hivyo si hata mzee mpira wangeweza wakamsajiri, wanamtengeneza wanasukumia uwanjani ili atupie mabao
 
1000185005.jpg
 
Back
Top Bottom