Dube ni mnafiki, alicheza chini ya kiwango kila akicheza na Yanga

Dube ni mnafiki, alicheza chini ya kiwango kila akicheza na Yanga

Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.

Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?

Atakwendaaaa wapiiii dude mbele ya kikosi cha Yanga broo sio chin ya kiwango ndo alivobanwa mzee
 
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.

Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
Tatizo la mahaba ya vilabu vya Simba na Yanga ndo unapandikizwa kiasi ukisema ukweli kuwa hayana afya kwa futiboli la nchi yetu unaambiwa mnafiki.
Angalia, hata kwenye chombo cha kutunga sheria pana Usimba na Uyanga.
Mechi za saa nane mchana ni mwiko Simba au Yanga kucheza. Juzi palikuwa na mechi tatu za ligi yetu. Simba na Prisons saa 10:00 jioni, Azam na Coastal Union saa 12:15 jioni na Dodoma Jiji dhidi ya Tabora United saa 2:15 usiku.
Matokeo yanafahamika sasa jana E Fm radio katika kipindi chake cha michezo asubuhi kuanzia saa 3 mpaka saa 5:30 hivi ni habari ya kufungwa kwa Simba tu na akaalikwa mpaka mzee Mtemi Ramadhani.
Haukuwa na uchambuzi wa mechi zile mbili.
Kwa kweli inakera kwani Prisons sio timu ya kigeni, ni ya nchi hii hivo kuifunga Simba ni sahihi.
 
WENGI WENU MNAANDIKA TU LAKINI HAMJUI MNACHOKIANDIKA.

NENDA KATAZAME MECHI YA YANGA VS AZAM KIPA SHIKALO

MWAMBA ALIPIGA NJE YA 18 SHIKALO ALIRUKA KAMA NYANI LAKINI HAKUONA KITU.

POINT TATU ZILIENDA KWA AZAM KWA GOLI LILILOFUNGWA NA DUBE.

TOKA SIKU HIYO NILIMUOGOPA DUBE ANAPOKUWA UWANJANI.

KIUFUPI DUBE NI MCHEZAJI HATARI SANA KULIKO MNAVYOFIKIRI.
acha uongo we mzee shikalo mpira ilimponyoka kwa kuwa shuti lilikzwa la moto na la kustukiza
 
Ndiyo sababu ni mchezaji wetu
Kuna lengine? Ukiachana na la chama kupewa hela mlipokula 5
 
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.

Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
Mkuu kuwa muelewa basi mbona maelekezo ya Dube yapo clear?

Dube ameeleza wazi kwamba kuna maelekezo maalum wanapewa na viongozi wa azam kuhusu timu ipi waikamie na timu ipi wacheze chini ya kiwango..
Rejea kwenye mechi hizi utamuelewa Dube.

NYUMA MWIKO FC --Azam FC
Simba --Azam fc.

Nadhani ukiangalia matokeo utajuwa kwamba dube alikuwa anaeleekezwa timu ipi aikamie na timu ipi acheze chini ya kiwango.
 
Wewe punguza mihemko... Dube kasema ukweli wake wewe hiyo mimba yako unamchukia ya Nini?.
 
Hata mechi za Simba alipaswa awe anaondoka na hat trick. Mechi ya mwisho kule Mwanza, kawahurumia sana Simba alikuwa anapiga goli tatu kipindi cha kwanza tu. Hivyo inawezekana alipewa maelekezo awahurumie Simba.
Yaani unavyosema ni kama vile Simba siku hiyo ilicheza bila kipa
 
Back
Top Bottom