Animal wachukue animal mwenziwe😁Utopolo wamchukue best yao...
Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.
Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
Tatizo la mahaba ya vilabu vya Simba na Yanga ndo unapandikizwa kiasi ukisema ukweli kuwa hayana afya kwa futiboli la nchi yetu unaambiwa mnafiki.Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.
Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
acha uongo we mzee shikalo mpira ilimponyoka kwa kuwa shuti lilikzwa la moto na la kustukizaWENGI WENU MNAANDIKA TU LAKINI HAMJUI MNACHOKIANDIKA.
NENDA KATAZAME MECHI YA YANGA VS AZAM KIPA SHIKALO
MWAMBA ALIPIGA NJE YA 18 SHIKALO ALIRUKA KAMA NYANI LAKINI HAKUONA KITU.
POINT TATU ZILIENDA KWA AZAM KWA GOLI LILILOFUNGWA NA DUBE.
TOKA SIKU HIYO NILIMUOGOPA DUBE ANAPOKUWA UWANJANI.
KIUFUPI DUBE NI MCHEZAJI HATARI SANA KULIKO MNAVYOFIKIRI.
Aliwahi kuwafunga kipa alikuwa shikaloHivi ashawahi wahi kuwafunga Yanga hata goli moja kweli?
Mkuu kuwa muelewa basi mbona maelekezo ya Dube yapo clear?Huyu jamaa nimemsikia akisema hawezi kucheza timu yenye viongozi mashabiki wa yanga na Simba.
Hata hivyo ninamuona ni mchezaji mpumbavu sana kwani huenda aliishi kwa kula pesa ya yanga ili acheze chini ya kiwango.
Kila akicheza nao alicheza kivivu na hakuwa na shauku ya ushindi hata kidogo.
Mchezaji wa namna hii hana maana yoyote na sababu anazozitoa sasa ni uhuni tu.
Maana ni punde tu alisaini mkataba na Azam. Je hayo ameyajua leo?
Yaani unavyosema ni kama vile Simba siku hiyo ilicheza bila kipaHata mechi za Simba alipaswa awe anaondoka na hat trick. Mechi ya mwisho kule Mwanza, kawahurumia sana Simba alikuwa anapiga goli tatu kipindi cha kwanza tu. Hivyo inawezekana alipewa maelekezo awahurumie Simba.