Dube wa Yanga ni garasa shtukeni

Hivi ndugu Genta yuko wapi siku hizi? Sijaona nyuzi zake za "mganga ametaka mkojo wa nyoka, mate ya mamba n.k
 
Ngoja tuangalie gemu ya ligi inayofuata jmosi,,asipo funga tunamuuza kwenda Moro United
 
Ngoja tuangalie gemu ya ligi inayofuata jmosi,,asipo funga tunamuuza kwenda Moro United
Hata kama asipofunga hawezi kuwa garasa wakati ndio kwanza Yanga imecheza michezo minne na wa tarehe 19 ndio mchezo wa 5 bado mechi nyingi sana zimebaki. Kwani Dube tokea ajiunge Yanga hajafunga? Si kafunga magoli sasa jichanganyeni tu maana hakuna kitu Dube yupo addicted nacho kama kuifunga Simba.
 
Wengine mpira achaneni nao? Kama Yanga wangekuwa na akili za kukurupuka Aziz wangemwacha msimu wa kwanza. Dube hali anayo ipitia ya mpito.
 
Ateba huyuhuyu anaelingana goli na beki wa Yanga Ibra Bacca.. na hapo Bacca hana goli la penati...

Juzi tu Dube kafunga goli timu yake ya taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…