We shangazi muogope Mungu!!☹Wachezaji wote wa Yanga ni magarasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We shangazi muogope Mungu!!☹Wachezaji wote wa Yanga ni magarasa
We shangazi muogope Mungu!!☹
Prince Mpumelelo Dube mpaka sasa hajaonesha makali yaliyotegemewa wakati anajasajiliwa Yanga.
Dube amezungukwa na wachezaji wazuri ila magoli kafunga machache sana mpaka sasa.
Wakati Ateba kaja juzi ni mashine na gumzo la nchi.
Tunaanza kumjadili saa ngapi huyu Dube kama garasa pale Jangwani?
Ila jamaa anazingua sana. Yanga nzito kwake.
Sisi ndiyo Simba SC AKA;