Lenin V.I.U
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 218
- 62
Asante kwa taarifa.
kuna lingine?
una kipaji cha ujinga
Tuwasaidieje sasa? ?
DUCE ipi unayoitolea taarifa,mimi nipo duce hapa sioni hata dalili hizo.Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha elimu dar es salaam, wameanza vugu vugu la maandamano kuishinikiza bodi ya mikopo kuwapa fedha zao za mazoezi kwa vitendo(field) wanafunzi hao wamesema chuo kinafunga ijumaa ya tarehe 4/7/14 wakati wengine wameshamaliza mitihani lakini hakuna dalili zozote za kusain iyo fedha. Aidha wame mshutumu rais wao wa serikali ya wanafunzi DARUSO-DUCE kuwa ni mamluki na amekaa kimya kwa maslahi ya watawala. NAWASILISHA
DUCE ipi unayoitolea taarifa,mimi nipo duce hapa sioni hata dalili hizo.
Polen.. chuon kwetu tushasign na wthn a week tuliyo sign tukaingiziwa pesa.polen thanaaaaaa
Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha elimu dar es salaam, wameanza vugu vugu la maandamano kuishinikiza bodi ya mikopo kuwapa fedha zao za mazoezi kwa vitendo(field) wanafunzi hao wamesema chuo kinafunga ijumaa ya tarehe 4/7/14 wakati wengine wameshamaliza mitihani lakini hakuna dalili zozote za kusain iyo fedha. Aidha wame mshutumu rais wao wa serikali ya wanafunzi DARUSO-DUCE kuwa ni mamluki na amekaa kimya kwa maslahi ya watawala. NAWASILISHA