Lenin V.I.U
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 218
- 62
Wanafunzi wa chuo kikuu kishiriki cha elimu dar es salaam, wameanza vugu vugu la maandamano kuishinikiza bodi ya mikopo kuwapa fedha zao za mazoezi kwa vitendo(field) wanafunzi hao wamesema chuo kinafunga ijumaa ya tarehe 4/7/14 wakati wengine wameshamaliza mitihani lakini hakuna dalili zozote za kusain iyo fedha. Aidha wame mshutumu rais wao wa serikali ya wanafunzi DARUSO-DUCE kuwa ni mamluki na amekaa kimya kwa maslahi ya watawala. NAWASILISHA