Kutoka Mirembe
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 294
- 87
Source: UDAKU!
Si habari ipelekwe jukwaa lake?
Si habari ipelekwe jukwaa lake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwongo. Kama alikubebesha bila kujua alikuwa na sababu gani kufungua mbele yako ili ujue? Ili ukamshtaki ? Ili akulipe hela? Uongo mwingine wa kitoto sana....
Source: UDAKU!
Si habari ipelekwe jukwaa lake?
Hii Tanzania, kama watu walikwapua hela wakaambiwa warudishe sembuse huyu, btw itakuwa labda new ideas ya Bongo darisalam season 2Kwenye nchi za watu, huyu kwa sasa angeguswa na mkono wa sheria katika macho ya criminality. He's accessory under Criminal Law. He has contributed to or aided in the commission of a crime hasa baada ya kukubali kupokea Ksh 50,000 na kukaa kimya.
Huwezi kugundua kama ulikuwa umebeba madawa ya kulevya halafu ukapewa Ksh 50,000 na kuamua kukaa kimya mpaka aliyekupa akakamatwa na madawa mengine ndiyo ukaamua kutoa habari kwenye jamii.
Kwanza kupokea tu hizo pesa ni kosa la jinai achilia mbali kutokutoa taarifa polisi ya kile kimetokea kwa kukuhusisha bila 'kufahamu'.
Kwa Tanzania inaweza isionekane kama ni kosa la jinai lakini hata kiroho, huwezi kukubali kulipwa kwa kubeba silaha ambayo unafahamu inaenda kuua watu halafu ukasema poa tu. This is ludicrous to say the least.
Kweli Tanzania siyo kama tuijuavyo wapita njia.