Unaweza kutaja majina ya hao matajiri.Dude ni matajiri na kakikundi kadogo tu cha watawala.
Sio dude inaitwa rogue state, hawa jamaa ni collective ya powerful people, some of them ni maarufu na mnawajua(sitowataja kaa leo) kwa power yao ya kifedha wameshateka chama, worse wameteka vyombo. Wanaamua who anakalia kiti kipi na anafanya nn.Hilo DUDE ni nini na lipo wapi na linafanyaje kazi na kwa kutumia katiba gani na hapo hapo Serikali ikiwa wapi??🤔🤔☝️
dude ni hilo unalotumia kuropokaHilo DUDE ni nini na lipo wapi na linafanyaje kazi na kwa kutumia katiba gani na hapo hapo Serikali ikiwa wapi??🤔🤔☝️
