"Akaongezea pia ninatoa masaa 48 kwa BASATA wafungue leseni yangu ya kufanyia Sanaa la sivyo nitaenda mahakamani kuwashitaki yaani sisi wasanii tunalipia ada kila mwisho wa mwezi kwa BASATA alafu BASATA wanachojua wao ni kufungia kazi za wasanii lakini hawalindi haki za wasanii hivi karibuni Msanii mwenzangu CHIZBENZ amelalamika Kuna MEDIA moja ilikuwa inataka kumlipa elfu 50 kwenye show Cha ajabu wamekaa kimya Kama hawajui kinachoendelea lakini pia msanii Mbalamwezi amekufa kifo kibaya kwa kukatwa utumbo wake nje Cha kushangaza BASATA wameshindwa kutoa hata tamko la kinafiki kuoneshwa kuguswa na tukio Hilo."
Onyesha mahali aliposema kama akipata ataenda mahakamani