Loftins
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 10,485
- 13,693
Iheshimu sana bange wewe yani narudia IHESHIMU BANGEKuna siku bange huwa inawaongoza watu vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iheshimu sana bange wewe yani narudia IHESHIMU BANGEKuna siku bange huwa inawaongoza watu vizuri
Me ndo maana situmii jamiiforum app kutokana na upuuzi Kama huo.Nipo sema jfapp inabore vile notifications haziji mpaka uangalie manually na unakuta sometimes umeshapitwa mpaka uvivu kucomment
Kwani walichofunga si ni leseni,,,?"Akaongezea pia ninatoa masaa 48 kwa BASATA wafungue leseni yangu ya kufanyia Sanaa la sivyo nitaenda mahakamani kuwashitaki yaani sisi wasanii tunalipia ada kila mwisho wa mwezi kwa BASATA alafu BASATA wanachojua wao ni kufungia kazi za wasanii lakini hawalindi haki za wasanii hivi karibuni Msanii mwenzangu CHIZBENZ amelalamika Kuna MEDIA moja ilikuwa inataka kumlipa elfu 50 kwenye show Cha ajabu wamekaa kimya Kama hawajui kinachoendelea lakini pia msanii Mbalamwezi amekufa kifo kibaya kwa kukatwa utumbo wake nje Cha kushangaza BASATA wameshindwa kutoa hata tamko la kinafiki kuoneshwa kuguswa na tukio Hilo."
Onyesha mahali aliposema kama akipata ataenda mahakamani
Tumia browser achana app yao.Nipo sema jfapp inabore vile notifications haziji mpaka uangalie manually na unakuta sometimes umeshapitwa mpaka uvivu kucomment