Dudu baya afunguka kuhusu tamko la BASATA

Dudu baya afunguka kuhusu tamko la BASATA

Msanii Dudu amefunguka baada ya kusikia kufungiwa mziki wake amesema sijapata wala kupokea barua yao so nitaendelea na mziki wangu Kama kawaida mpaka pale nitapopata barua yao alafu pia me sijafanya kosa lolote kwanini kuzungumzia kwangu na kukea matendo ya usagaji, ushoga na ufiraji ninaonekana nina kosa mbona Kuna watu wanavujisha video za ngono za kufanya kinyume na maumbile mitandaoni na hawachukuliwi hatua zozote na BASATA lakini me ninayekemea ninaonekana nimkosaji eti nimetukana je na wale watumishi wa Mungu wanaoongelea haya makanisani Kama mchungaji Lwakatare Napo mnazungumziaje?

Akaongezea pia ninatoa masaa 48 kwa BASATA wafungue leseni yangu ya kufanyia Sanaa la sivyo nitaenda mahakamani kuwashitaki yaani sisi wasanii tunalipia ada kila mwisho wa mwezi kwa BASATA alafu BASATA wanachojua wao ni kufungia kazi za wasanii lakini hawalindi haki za wasanii hivi karibuni Msanii mwenzangu CHIZBENZ amelalamika Kuna MEDIA moja ilikuwa inataka kumlipa elfu 50 kwenye show Cha ajabu wamekaa kimya Kama hawajui kinachoendelea lakini pia msanii Mbalamwezi amekufa kifo kibaya kwa kukatwa utumbo wake nje Cha kushangaza BASATA wameshindwa kutoa hata tamko la kinafiki kuoneshwa kuguswa na tukio Hilo.

Sasa hiv mambo ya uonyonywaji wa wasanii na media umekuwa mkubwa msanii akikataa offer ya kufanya show kwenye media ngoma zake hazipigwi inawafanya wasanii wengine wafanye show atakama hela wanaolipwa ni kidogo kuogopa kufungwa ngoma zao kupigwa redioni lakini BASATA wapo kimya.

Nini maoni yako kuhusu jibu la dudu baya kwa BASATA
mkuu hujamalizia apo mwisho

I am Dudubaya mamba oil chafu konk konk konk master 😂🤣😂
 
Sasa mahakamani ataenda kushtaki nini wakati mwanzo amesema kuwa hajapata barua ya kufungiwa?
 
Naona Amenza Kulegeza Sauti, Dawa Imeanza Kumuingia taratiibuu Anatafuta huruma ya Wananchi

Vishabiki vya WCb ndo Vinamshabia huyu Mibange

Weee sio msanii na haujui uchungu wa sanaaa,Dudu baya kaongea points kuhusiana ma maswaibuu wanayoyapata wasaniii kupitia basata...Alichonifungua leo kumbe basata wanaishi kwa nguvu za wasaniii.
 
Ujasoma vizuri kasema Kama akipata ataenda mahakamani.
"Akaongezea pia ninatoa masaa 48 kwa BASATA wafungue leseni yangu ya kufanyia Sanaa la sivyo nitaenda mahakamani kuwashitaki yaani sisi wasanii tunalipia ada kila mwisho wa mwezi kwa BASATA alafu BASATA wanachojua wao ni kufungia kazi za wasanii lakini hawalindi haki za wasanii hivi karibuni Msanii mwenzangu CHIZBENZ amelalamika Kuna MEDIA moja ilikuwa inataka kumlipa elfu 50 kwenye show Cha ajabu wamekaa kimya Kama hawajui kinachoendelea lakini pia msanii Mbalamwezi amekufa kifo kibaya kwa kukatwa utumbo wake nje Cha kushangaza BASATA wameshindwa kutoa hata tamko la kinafiki kuoneshwa kuguswa na tukio Hilo."
Onyesha mahali aliposema kama akipata ataenda mahakamani
 
Kiukweli kaongea vyema.
Basata ukiwasikia ni wakati wakutaka kumfungia msanii tu.
 
‘’Advance payment ya hi nanii milioni mia moja hamsini ,your going to stay on the cell until you provide serious explanation on matter ,because now you cannot play with the government like this ,last time I came here equipment like this ,then you take to another site so your going to stay inside until your give instruction for the equipment you have taken to Dodoma to come back here make sure you have sufficient people to work on the site mheshimiwa sasa kawaweke hawa siwezi kuwa ….’’

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Akaongezea pia ninatoa masaa 48 kwa BASATA wafungue leseni yangu ya kufanyia Sanaa la sivyo nitaenda mahakamani kuwashitaki yaani sisi wasanii tunalipia ada kila mwisho wa mwezi kwa BASATA alafu BASATA wanachojua wao ni kufungia kazi za wasanii lakini hawalindi haki za wasanii hivi karibuni Msanii mwenzangu CHIZBENZ amelalamika Kuna MEDIA moja ilikuwa inataka kumlipa elfu 50 kwenye show Cha ajabu wamekaa kimya Kama hawajui kinachoendelea lakini pia msanii Mbalamwezi amekufa kifo kibaya kwa kukatwa utumbo wake nje Cha kushangaza BASATA wameshindwa kutoa hata tamko la kinafiki kuoneshwa kuguswa na tukio Hilo."
Onyesha mahali aliposema kama akipata ataenda mahakamani
Sema umechukua sehemu ndogo Soma upya kuanzia mwanzo wa taarifa ndo utamwelewa.
 
Sasa mahakamani ataenda kushtaki nini wakati mwanzo amesema kuwa hajapata barua ya kufungiwa?
konk kasema anaendelea na mzik kama Kawa ila wakimpa barua tu anaibuluza BASATA maakamani

I am Dudubaya mamba oil chafu Konk konk konk master
 
Kwa msio msikiliza DUDU ndio mtaona mapya hayaa, jamaa mbona anaongeaga point tu, sema tatizo ni njia ya ufikishaji jumbe zake. 😅
Kuongea point ni pamoja na namna unvyofikisha ujumbe kwa hadhira yako..
 
Back
Top Bottom