Dudu baya afunguka mengi , kuokoka, manye kimambi,konde gang, aslay , nandy na rich mavoko

Dudu baya afunguka mengi , kuokoka, manye kimambi,konde gang, aslay , nandy na rich mavoko

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
10,589
Reaction score
35,268
Hv karbuni Konki master Dudu baya, ameokoka kwenye kanisa la Mwamposa (bulldozer), akihojiwa na mwandishi wa Temu online TV, Dudu baya ameongea mengi, amezungumzia uadui mkubwa uliopo kwenye mziki, yeye mwenyewe akiwa ni mhanga wa fitina hzo, pia amewasamehe maadui zake lakn akitoa tahadhar isiwe sababu ya kumsingizia la sivyo atalala nao mbele.

Ameenda mbali zaid na kusema anachukia ushoga na hvyo ataendelea kukemea ushoga kadr mda utakavyoruhusu kufanya hvyo, Dudu baya pia ametoa tahadhar Kwa harmonize , kuwa kama amerubuniwa na watu bas ajiandae kuangukia pua, huku akitoa mifano ya wasanii waliorubuniwa kama aslay, rich mavoko n.k...

Na pia ametoa baraka Kwa harmonize endapo ametoka Wasafi Kwa nia njema, na hvyo kumtakia mafanikio mema, amemalizia Kwa kusema yeye sa hv ni kiumbe kipya akiongozwa na mwenyezi Mungu huku akitua mzigo mzito wa chuki Kwa maadui zake....

Cheki video hapa


Video Credit: Temu online tv

My take: Naona kama Mwamba ananyatia uchungaji, na sauti yake inadeserve
 
Namtakia kila la kheri
Ni jambo zuri aliloanua

Mpite kimya hakuna anayeweza kujaji ya mwingine.. ushauri tu.. mlinde nafsi zenu

Hata kahaba mmoja wa kwenye Biblia alikuja kutokea kuwa na baraka za Mungu kupita waliokuwa walokole
 
Back
Top Bottom