The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 9,265
- 20,526
Wanauza views dudubaya ana elimu ya hapa na pale π π πIla waandishi bongo Bana. Yani Dudu Baya Sasa hivi anatafutwa kuhojiwa mambo mbalimbali ya kiuchumi, kijamii kisiasa kitaifa na kimataifa.
Nyau de adriz
Angalau Dudu na Chidy Benzi ndio akili huru zilizobaki, unaweza kumhoji "Dr. Fulani" akaongea pumba tupu.Ila waandishi bongo Bana. Yani Dudu Baya Sasa hivi anatafutwa kuhojiwa mambo mbalimbali ya kiuchumi, kijamii kisiasa kitaifa na kimataifa.
Nyau de adriz
Jamaa pia afya imezingua kwa sasaYani anagombaniwa. Hadi ishu ya Traoure, P Didy safari ya Trump Ghuba mchakato wa papa kuteuliwa eti waandishi wanatafuta kabisa store maoni Yake.
Nyau de adriz
Akihojiwa na MaxMedia aliyekuwa msanii maarufu wa bongo flavour Dudu Baya anajutia kuzaliwa mtu mweusi. Kauli Yake.
I hate blacks. Mimi najuta kuzaliwa jitu jeusi. Nachukia sana majitu meusi. Yani jitu jeusi kugewa hela kamuue max ni jambo la kawaida halafu wazungu wamekaa wanachekelea. We are killing eachother tunauana sisi kwa sisi afrika. Wenyewe wametulia wanatuangalia na kushangaa.
Hakuna jitu pumbavu duniani kama jitu jeusi. ππππ
Hata ukienda marekani wasanii wanauana mablack wanauana wazungu wamekaa tu kamue yule halafu yanaenda kuuana majitu meusi.
Angalia tu maendeleo anayoyafanya ibrahim traoure lakini hayo hayo majitu meusi yakipewa dollar 5000 yanaenda kumuwekea sumu ibrahim traoure wakati huyo rais anajitahidi kuleta maendeleo ya nchi ya kwako familia na ukoo.
Msikize zaidi kwenye video hapo chin.
View: https://vm.tiktok.com/ZNdhRe471/
Yoda Nyani Ngabu
Nyau de adriz Yoda
Yawezekana haujaupenda au kuuzoea uongeaji wake tu.Jamaa anaongea ukweli katika lugha kali.Jikite katika msingi wa anachokinena.Hili ni jibaguzi lillokata tamaa na pumbaff la kutupwa. Liambie liache bangi.
Ujana na balehe vina changamoto sana.Alitaka aonekane gangwe,shujaa,msela-nondo na mbabe wa kisukuma.Kwa ufupi alifanya tafsiri sisisi kutoka kwenye majina kama TREACH na NOTORIOUS ili ajione jitu moja la kutisha hivi kutoka kwa Mwanamalundi aka Usukumani.Kwa nini alijiita DUDU baya?
Hakuna kujikita wala nini. Mtu anayejibagua wala hafai hata kusikilizwa vinginevyo atasikilizwa na hao wanaoabudia weupe uchwara. Kwani hata hao wazungu ni weupe au matupinkele?Yawezekana haujaupenda au kuuzoea uongeaji wake tu.Jamaa anaongea ukweli katika lugha kali.Jikite katika msingi wa anachokinena.