Dudu baya ala shavu afanya bonge la ngoma na layvany wa WCB

Hivi lava lava aliishiaga wapi?achilia mbali ushindani wa mboso na aslay
 
Me mwenyewe ni Music producer, beats Maker. Bt humu huyu dudubaya kaimba utumbo mtupu waangalie wasiharibu jina la S2kz baada ya kutoka switch. Bali wafanye hits zitakazoendelea kumuweka producer huyo katika chat yake.
 
Chakuma?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duuuh!!! iko chama kinaitwajeee??!!
 
Yaani we jamaa unaweza kuandika vanny lakini Ray inakushinda? Mbona unanidondosha mwanangu?
 
Me mwenyewe ni Music producer, beats Maker. Bt humu huyu dudubaya kaimba utumbo mtupu waangalie wasiharibu jina la S2kz baada ya kutoka switch. Bali wafanye hits zitakazoendelea kumuweka producer huyo katika chat yake.
Beat yenyewe haijajaa hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…