Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hivi huyu Manguruwe ni nani na katokea wapi? lengo lake nini?
Leo kakutana na kipondo cha Dudu baya kwa madai ya kumkashifu.
---Siku chache baada ya mfanyabiashara na mmiliki wa mradi wa kijiji cha nguruwe, Saimon Mkondya kumsemea mbovu msanii mkongwe nchini Dudubaya, msanii huyo amemtimbia na kulianzisha.
Dudubaa amemvaa Mr Manguruwe na kumshusha kwenye gari lake kisha kumkaba koo akidai kwamba amemdhalilisha kwa kutaka kumuajiri kusafisha mabanda ya nguruwe.
Leo kakutana na kipondo cha Dudu baya kwa madai ya kumkashifu.
---
Dudubaa amemvaa Mr Manguruwe na kumshusha kwenye gari lake kisha kumkaba koo akidai kwamba amemdhalilisha kwa kutaka kumuajiri kusafisha mabanda ya nguruwe.