Dudu baya amuonya vikali ney wa mitego

Dudu baya amuonya vikali ney wa mitego

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Msanii rapa kutoka pande za mwanza mwanza godfrey tumain makoye DUDU BAYA amemuonya vikali msanii kutoka pande za mazense emmanuel eribalik NEY WA MITEGO kuwa aache mara moja kujilinganisha na mkali kutoka sala sala king zila kwa kuwa hana uwezo wa kumifikia mkali huyo wa sala sala

Dudu alienda mbali zaid na kudai kuwa ney wa mitego siyo msanii wa hip hop na hajui kutunga na kuimba nyimbo za hiphop dudu kadai ney anasubiri watu wapambane kwa nguvu zao wawe marufu kisha yeye aje awaimbe ndo apate kura hivyo hana mashair yoyote yale na hajui mziki

Dudu aliendelea kudai na kumfagilia zaid god zila kuwa ni msanii mkali sana na ndo msanii kati ya wasanii wachache wanaoimba hip hop yenyewe hivyo ney atulize puch yake wanaume waimbe real hiphop

Nawasilisha

Mbalikiwe sana katika bwana wapendwa wa mungu..

LONDON BABY
 
Back
Top Bottom