Truth Teller
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 1,623
- 2,892
Magu aliwahi msifia dudubaya?Tatizo akishamsifia mkuu wa kaya watu wanapata kigugumizi cha kumkamata na lenyewe limeshakuwa janjajanja
lini na wapi?
na alimsifiaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magu aliwahi msifia dudubaya?Tatizo akishamsifia mkuu wa kaya watu wanapata kigugumizi cha kumkamata na lenyewe limeshakuwa janjajanja
Sasa kuna watu wakikosa hela wanapagawa hasa hawa watu wenye umaarufuSana tu, kwan nini tatizo?
Kwa maana wanawake wanaakili Kama za wanaume wasiokua na marinda......Mwanaume ambaye hana marinda, hana tofauti na mwanamke. Wantofautiana nguo tu tabia zilezile.
Hata mwanamke anayejua her values hafananii na mwanamme asiye na marinda.....Mwanaume ambaye hana marinda, hana tofauti na mwanamke. Wantofautiana nguo tu tabia zilezile.