Hujui kuwa walevi asilimia kubwa huongea ukweli kabisa.??Dudu baya mbona Kama amelewa hapo !!
Hujui kuwa walevi asilimia kubwa huongea ukweli kabisa.??
Amechukua nafasi ya TBC? AhahhaDudu baya ukweli na uhakika
Achana na huyu mzee. Jana Marioo kafanya shoo pale Warehouse Masaki na watu wamejaa.Godfrey Tumaini, a.k.a. Dudu Baya amefunguka kwa kina akielezea jinsi Majizzo anavyonufaika na Kampeni za CCM huku akiongelea dharau za Diamond na wenzake kwa watanzania tokana na kujaa sifa za kijinga.
Msikilize vema