Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,584
- 6,136
Mami Ng'wanza Madaso,
Hilo limtambo ni very Old school. Mwanzo niliandika kwa kufikiria mtambo mwingine kabisa. Ila huu wa Mika Mwamba naona nao ni mpya. NUMARK wametoa mashine tatu MPYA za aina hii sasa hivi. Angalia kwenye site yao: http://www.numark.com/computerdjvj
Na hapo angalia hizi mashine zao Mpya yaani : NS7 (Numark & Serato wameshirikiana), Stealth Control na Omni Control. Ukiangalia Picha utaona kuwa Mwamba anatumia Omni Control. Ila wanadai Stealth Control ni heavy duty ambayo waweza kutumia hadi Studio
